HATIMAYE 'MANGI' RAFAEL ATUA ZAKE LYON, AICHA MAN UNITED Rafael Da Silva ameondoka Manchester United amejiunga na Lyon ya Ufaransa. Beki huyo raia wa Brazil amejiunga na Lyon na kutupia picha zake kwenye mtandao. Lyon imemwaga pauni milioni 2.5 kumpata beki huyo wa kulia wa United mwenye umri wa miaka 25.
0 COMMENTS:
Post a Comment