August 16, 2015


Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku alilazimika kupanda hadi jukwaani na kutoa suti yake ya michezo kwa shabiki wa Southampton.


Alifanya hivyo baada ya kumpiga shabiki huyo mama mtu mzima na mpira wakati wanapasha kabla ya kuivaa Southampton.


Lukaku alipanda jukwaani, akamuomba radhi mama huyo mtu mzima, kisha akavua track suit yake na kumkabidhi.


Katika mechi hiyo, Lukaku alifunga mabao mawili wakati Everton ikishinda mabao matatu ugenini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic