August 16, 2015


Chelsea imekiona cha moto leo baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Man City waliokuwa wenyeji wake katika mechi ya pili ya Ligi Kuu England.



Sergio Aguero, Vicent Kompany na Fernandinho ndiyo waliofanya kazi kubwa ya kupachika mabao.

Manchester City: Hart, Sagna, Mangala, Kompany, Kolarov, Toure, Fernandinho, Navas, Silva, Sterling, Aguero. 
Subs: Caballero, Zabaleta, Clichy, Nasri, Demichelis, Bony, Iheanacho
Chelsea: Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard; Diego Costa.
Subs: Blackman, Zouma, Mikel, Loftus-Cheek, Cuadrado, Falcao, Remy.
Referee: Martin Atkinson

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho alionekana mnyonge asiyekuwa na la kusema wakati Chelsea ikipoteza kwa idadi hiyo na kuifanya kuwa na pointi moja tu katika mechi mbili za Ligi Kuu England.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic