August 15, 2015


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Burundi (FFB), Reverien Ndikuriyo kwa kuchaguliwa kuwa spika wa bunge la Seneta nchini humo.



Katika salam hizo za pongezi kwa Rais wa FBF na nakala zake kwenda Cecafa, Caf na Fifa, Malinzi ameelezea imani yake kwa Seneta Ndikuriyo na amemtakia kila la kheri na mafanikio katika nafasi hiyo mpya aliyochaguliwa.

Pamoja na kuwa ni nchi ndogo, Burundi imekuwa kati ya nchi zinazotoa vipaji vingi vya soka.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic