Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) bado linaendelea na
mazungumzo na wadhamini wa michuano hiyo (Coca-Cola). Kutokana na mazungumzo
hayo, ratiba ya michuano hiyo itachelewa kutoka.
Hivyo, tunawaomba kuwa na uvumilivu wakati mchakato wa mazungumzo hayo
yanayokaribia ukingoni ukiendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment