August 7, 2015

 Jose Mourinho amesaini mkataba mpya wa Chelsea ambao utakuwa na urefu wa miaka minne.

Kocha huyo rauia wa Ureno sasa anaondoka na pauni milioni 30 kutokana na mkataba huo mpya.
Mourinho ameingoza Chelsea kubeba makombe mawili ya Capital Onea na Premier League.

Mreno huyo mwenye miaka 52, hakufanya vizuri kwa maana ya kupata ushindi katika mechi zake za majaribio kujiandaa na msimu mpya lakini amesisitiza watafanya vizuri.

Chelsea itaanza msimu wa 2015-16 kwa kucheza na Swansea.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic