August 18, 2015

 Newcastle wameonyesha heshima baada ya kutengeneza sanamu maalum kwa ajili ya kumuenzi mshambuliaji wake nyota wa zamani, Allan Shearer.


Sanamu hilo liko katika hatua za mwisho kabisa kukamilika ambalo linaonyesha heshima kubwa kwa Shearer.


Shearer ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu England kwa muda wote na alianza kung'ara zaidi akiwa na Blackburn Rovers.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic