Mario Balotelli saa hana
namba katika kikosi cha Liverpool, lakini hiyo haijawazuia Puma kumtengenezea
kiatu cha aina yake maana kina kiduku.
Kiatu hicho chenye
kiduku kimeonyesha kuwashangaza wengi lakini ndiyo atakuwa anakitumia Balotelli
akiwa na Liverpool na Italia.
0 COMMENTS:
Post a Comment