RAHEEM STERLING AANZISHA RS7, AMFUATA RONALDO NA CR7 Kiungo mpya mwenye kasi wa Manchesyer City, Raheem Sterling ameamua kuingia kwenye biashara rasmi kwa kuanzisha lebo yake. Sterling sasa atatumia chatata mpya ya RS7, ambayo inatarajia kuonyesha ushindani kwa CR7 ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment