August 18, 2015


Unaweza ukaudharau mchezo wa soka kama haufanyii kazi vizuri, lakini ukiwa siriaz, unalipa kwa kweli.


Mfano mzuri ni jumba la kifahari analomiliki beki wa zamani wa Man United na Everton, Phil Neville.

Ndani kila kitu, meza ya pool table, uwanja mdogo wa soka wa ndani, bwawa la kuogelea, maktaba yenye jezi za wachezaji mbalimbali akiwemo Thierry Henry.
 
Lina vyumba sita vya kulala, sauna na kila kitu ana mandhari yake ni ya kuvutia sana.

Hii ni sehemu ya kuonyesha mchezo wa soka hata kama hautamsaidia mtu kujenga jumba kama hilo ambalo hata baadhi ya marais wa nchi mbalimbali hawana, mtu akiutumia vizuri, utamsaidia kimaisha.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic