Mtanzania, Emily Mgeta amekuwa akifanya vizuri katika kikosi
chake cha Neckarsulmer kinachoshiriki Ligi Daraja la Tano nchini Ujerumani.
Neckarsulmer imekuwa ikishinda mechi zake mfululizo na Mgeta
ameendelea kupata nafasi katika kikosi cha kwanza akicheza beki wa kushoto.
Angalia baadhi ya picha mbalimbali Mgeta akipambana…
0 COMMENTS:
Post a Comment