Baada Xavi Harnandez kustaafu, Andres Iniesta ndiye nahodha
mpya.
Iniesta ameteuliwa na wachezaji wenzake kuwa nahodha mpya kwa
kuwa awali alikuwa msaidizi.
Baada ya Iniesta, kuna manahodha watatu wasaidizi ambao ni
Lionel Messi, Sergio Busquets na Javier Mascherano.
0 COMMENTS:
Post a Comment