August 11, 2015


Kesho jumatano Agosti 12,2015,Kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika katika ofisi za Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), zilizopo katika jengo la Machinga Complex Ilala (karibu na Uwanjwa wa Karume).

Mkutano huo itaanza saa 5 asubuhi, chonde mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.


Omary Katanga

DRFA
Mkuu wa Habari na Mawasiliano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic