Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi amekumbana na
balaa baada ya kuumia goti na sasa atakaa nje wiki nane au miezi miwili.
Messi ameumia wakati Barcelona ikiivaa Las Palmas katika
mechi ya La Liga.
Messi aliumia wakati akigombea mpira na beki wa La Palmas, Pedro
Bigas.
0 COMMENTS:
Post a Comment