Mshambuliaji Robert
Lewandowski ameifungia Bayern Munich mabao mawili na kuisaidia kushinda kwa
mabao 3-0 dhidi ya Mainz katika mechi ya Bundesliga.
Kwa mabao hayo mawili na
yale matano wiki iliyopita dhidi ya Wolfsburg, mshambuliaji huyo kutoka Poland
amefikisha mabao 100 katika Bundsliga
Licha ya kuwa ugenini,
Munich imeshinda mabao hayo, moja likitupiwa na Muller.
0 COMMENTS:
Post a Comment