Lionel Messi amekosa penalti yake ya 17 kati ya 81
ambazo amewahi kupiga katika mechi za La Liga.
Messi alikosa mkwaju wa penalti wakati Barcelona
ikiivaa Levante na kipa Gorka Iraizoz akaipangua.
Kutokana na kukosa penalti hiyo, Messi amefikisha
asilimia 21 ya ukosaji wa penalti.
Messi ni kati ya wachezaji wachache waliopiga penalti
nyingi katika kikosi cha Barcelona maarufu kama 'Azulgranas' ingawa vinara hasa
ni César na Samuel Eto'o.








0 COMMENTS:
Post a Comment