September 21, 2015


Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Anthony Martial amemzawadia mwanaye tuzo ya mchezaji bora wa mechi.


Tuzo hiyo aliipata baada ya kufunga mabao mawili katika mechi ya Ligi Kuu England ambayo Man United ilishinda kwa mabao 3-2 dhidi ya Southampton ikiwa ugenini, jana.
AKIWA NA MKEWE...
Martial ambaye anatarajia kupata mtoto mwingine na mkewe, ametoa tuzo hiyo kwa mwanaye.

Katika ameingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga mabao katika mechi zake mbili za mwanzo akiwa na Man United.
 
Louis Saha na Federico Macheda  ni kati ya waliofunga katika mechi zao mbili za mwanzo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic