![]() |
| KIIZA KAZINI.... |
Gumzo kubwa katika soka nchini sasa ni washambuliaji wawili wa kigeni,
Hamis Kiiza wa Simba na Donald Ngoma wa Zimbabwe.
Kiiza kutoka Uganda na Ngoma wamekuwa gumzo kubwa baada ya kupachika
mabao matatu na matano hali inayofanya kila mmoja aamini wameanzisha ushindani
mkubwa katika ya mechi ya watani Simba na Yanga, Jumamosi.
Kiiza amefunga mabao matano katika mechi tatu, huku akiwa wa kwanza
kufunga Hat trick katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2015-16.
Kiiza amefunga mabao hayo katika mechi dhidi ya Kagera na kuiwezesha
Simba kushinda kwa mabao 3-0 katika mechi yake ya tatu ya ligi.
Ngoma tayari ana mabao matatu baada ya kufunga bao moja katika kila
mechi.
Ukali wa washambuliaji hao, maana yake kweli wanaweza kutoka bila bao
hata moja katika mechi ijayo.
Je, Kiiza ataongeza mabao mengine au Ngoma atatupia na kumfikia Kiiza? Maswali
ni mengi sana.
Lakini wawili hao, sasa ndiyo gumzo kubwa katika soka nchini hasa
unapozungumzia suala la uchekaji na nyavu.
Kwa uwezo waliouonyesha katika mechi tatu zilizopita, maana yake kila
mmoja, anaonyesha








0 COMMENTS:
Post a Comment