Hatimaye mshambuliaji Donald Ngoma, amefanikiwa
kuingia nyavuni kwa kuifungia Yanga bao.
Ngoma amefunga bao wakati Yanga la pili wakati
Yanga ikicheza na Coastal Union. Awali ilionekana Ngoma alikuwa na ukame wa mabao hasa katika mechi za kirafiki.
Kwa sasa ni mapumziko katika mechi hiyo kwenye
uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Ngoma alifunga bao katika dakika ya 42.
Kabla ya hapo, Yanga ambayo sasa inaongoza kwa
mabao 2-0, ilianza kupata bao lake kupitia kwa Simon Msuva.







0 COMMENTS:
Post a Comment