Diego Costa amefungiwa
mechi tatu za Ligi Kuu England, Shirikisho la Soka (FA), limetangaza.
Costa amesimamishwa
kutokana na kupatikana na hatia ya kumkwangua beki wa Arsenal, Laurent
Koscielny wakati Chelsea ilipoishinda Arsenal kwa mabao 2-0, Jumamosi.
Costa alikuwa
akiwavuruga mabeki wa Arsenal ikiwa ni pamoja na kutolewa kwa beki wake ambaye
alimkanyaga makusudi.
du bado una endelea na uandishi usio na maana. yani haujajua bado kama Gabriel kafunguliwa adhabu sababu kaonekana hakumkanyaha costa. refa mbovu kamuua kuwaua arsenal. hata alivyoona arsenal bado wanacheza vizuri akampa tena kadi Cazorla .hii ndio ligi mbovu ya epl. kuna timu zinacheza na marefa km bongo tu
ReplyDeleteReal jamaa kafunguliwa,ebwanaeee,kama vipi game irudiwe tu watie adabu chelsea
DeleteReal jamaa kafunguliwa,ebwanaeee,kama vipi game irudiwe tu watie adabu chelsea
Delete