September 16, 2015


Kikosi cha Mwadui FC kilianza Ligi Kuu Bara kwa kipigo kutoka kwa Toto African mjini Mwanza.
Lakini leo kikosi hicho kinachofundishwa na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kimeanza kazi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya African Sports.
Ikiwa kwenye Uwanja wake wa nyumbani Mwadui mjini Shinyanga, Mwadui FC ilionyesha soka safi na kuutawala mchezo kwa muda mrefu.

African Sports ambao walianza ligi kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, walishindwa kabisa kuithibiti kasi ya Mwadui.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic