Pamoja na Brazil kuifunga
Costa Rica kwa bao 1-0 katika mechi ya kirafiki, nahodha wake, Neymar
amefunguka na kumpa ukweli kocha wake, Dunga.
Neymar amesema
amechukizwa na Dunga kumuweka benchi hadi dakika 10 za mwisho.
Amesisitiza kwamba
hakufurahia katika hali hiyo na hatakuwa tayari kuitwa kwenye kikosi cha timu
ya taifa kwenda kukaa benchi.
0 COMMENTS:
Post a Comment