Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano
Ronaldo ameamua kuingia katika uigizaji wa filamu.
Filamu hiyo inatarajia kuingia mtaani rasmi
Novemba, mwaka huu ikielezea mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake.
Filamu hiyo inayoitwa Ronaldo, imetengenezwa kwa
miezi 14 ikifuatilia mambo mbalimbali ya Ronaldo akiiwezeisha Real Madrid
kubeba ubingwa wa Ulaya.
DAILY MAIL
0 COMMENTS:
Post a Comment