|
RAIS JAKAYA KIKWETE (KUSHOTO) AKIPOKEA TUZO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TASWA, JUMA PINTO. |
Chama cha Waandishi wa
Habari za Michezo za Michezo Tanzania (Taswa) kimetoa tuzo maalum kwa Rais
Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake mkubwa katika michezo katika kipindi
cha miaka yake 10 ya uongozi.
Kikwete alipewa tuzo hiyo
jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lakini
pamoja na tuzo hiyo, Kikwete naye aliwakabidhi tuzo wanamichezo mbalimbali
waliofanya vizuri wakati wa kipindi chake.
|
AKIMPA TUZO MWANARIADHA, SAMSON RAMADHANI |
|
KWA NIABA YA MWANAYE AKIMPA TUZO MAMA YAKE MZAZI MWANAKIKAPU, HASHEEM THABEET... |
|
AKIMPA TUZO BONDIA FRANCIS CHEKA |
|
RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI AKITOA NGAO KUONYESHA KUTAMBUA MCHANGO WA JAKAYA KIKWETE KATIKA MCHEZO WA SOKA |
|
SALEH ZONGA, MMOJA WANAKIKAPU WAKONGWE NA KIONGOZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA (TBF) AKIMPA RAIS KIKWETE TUZO YA MPIRA |
0 COMMENTS:
Post a Comment