October 21, 2015


Unaweza kusema Bayern Munich ikikutana na Arsenal ni sawa na mwembe na mmiliki wake.

Maana imechapwa mabao 2-0 na wenyeji wake Arsenal katika mechi ya Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Emirates, leo.


Shujaa ni Olivier Giroud na Mesut Ozil ambao wametupia mabao hayo licha ya Bayern ambayo ni kali kweli kutawala mchezo kwa 70% lakini, ikatulizwa

Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey (Oxlade-Chamberlain 57 mins), Ozil, Sanchez, Walcott (Giroud 74) 
Subs not used: Macey, Debuchy, Gibbs, Arteta, Chambers
Goals: Giroud, Ozil 
Booked: Giroud 
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Alaba, Boateng, Bernat, Vidal (Rafinha 71), Alonso (Kimmich 71), Muller, Thiago, Douglas Costa, Lewandowski 
Subs not used: Ulreich, Javi Martinez, Kirchhoff, Gaudino, Coman
Referee: Cuneyt Cakir (Turkey) 










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic