October 15, 2015


Kocha Rafa Benitez wa Real Madrid, amesema amemueleza mkewe, kuwa kikosi chake ni bora na ana uhakika kitabeba ubingwa wa Hispania.

Benitez amesema amemueleza mkewe hivyo kwa kuwa anaamini ana kikosi bora, wachezaji wanapenda na kuelewa, hivyo watafanya kitu bora.
“Kumekuwa na taarifa nyingi ambazo si sahihi, wachezaji wana furaha na wako tayari kwa ajili ya kubeba kombe au makombe.

“Majeraha ya mara kwa mara yanatuandama lakini tunaamini yatapita nasi tutaweza kupambana,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic