October 19, 2015


Kiungo Haruna Moshi 'Boban' ameonekana akijifua vilivyo kuhakikisha anakuwa fiti kwa ajili ya mechi ya African Sports, Alhamisi.

Boban ameichezea Mbeya City mechi moja ikiwa ndiyo ya kwanza dhidi ya Simba na timu yake ikapoteza kwa bao 1-0 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.

Boba ameonekana akijifua vilivyo chini ya Meja mstaafu, Abdul Mingange ambaye ni Kocha Mkuu wa Mbeya City.

 Mbeya City imekuwa ikiendelea kujifua kwa nguvu ili kubadili mwendo iweze kushinda mechi hiyo ijayo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic