October 19, 2015



Meja mstaafu, Abdul Mingange ambaye ni Kocha Mkuu wa Mbeya City, ameendelea kukifua kikosi chake kabla ya mechi dhidi ya African Sports, Alhamisi.


Mbeya City inatoka katika kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya ambao ndiyo wanaendelea na mazoezi.

“Tumepoteza mechi dhidi ya Simba na tumeona makosa mengi sana. Tunaendelea kuyafanyia. Lengo ni kushinda mechi yetu ijayo,” alisema.

 Mbeya City imekuwa ikiendelea kujifua kwa nguvu ili kubadili mwendo iweze kushinda mechi hiyo ijayo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic