October 24, 2015


Kiungo mshambuliaji Charles Misheto amefunga bonge la bao na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya Ligi Daraja la Nne nchini Ujerumani.


Misheto anayekipiga katika kikosi cha  Rabestein FC amepiga bao hilo katika mechi dhidi ya Rapid FC iliyowahi pia kumfukuzia.


Kiungo huyo aliyewahi kukipiga Stand United kabla ya kwenda Ujerumani, sasa amekuwa tegemeo la Rabestein FC na baadhi ya timu zimeanza kumtolea macho. CHEKI MWENYE KAZI YA MTANZANIA HUYO...


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic