Mama na mwana….Bibie Abdallah kushoto akiwa
katika pozi na mwanaye, Shakira Abdallah, wote walishiriki katika mbio za
wanawake za Km 5, katika Tamasha la Majimaji Selebuka. Mama ameshika nafasi ya
tano, mwana nafasi ya tatu.
|
Washindi wa mbio za wanawake katika picha ya pamoja na viongozi wa tamasha la Majimaji selebuka 2015. |
Washiriki wa mbio fupi za wanawake wakiwa
wamepumzika baada ya kukimbia.
|
Shakira Abdallah akimalizia mbio katika shindano
la mbio za wanawake Km 5 zilizoandaliwa na Asasi ya Somi katika Tamasha la
Majimaji Selebuka 2015. Shakira ameshika nafasi ya tatu licha ya kukimbia peku.
|
Mkurugenzi mwenza wa Asasi ya Songea-Mississippi,
Dk Damas Ndumbaro kulia akipata maelezo kutoka kwa wajasiriamali katika
maonyesho ya wajasiriamali kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka 2015, kwenye
Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, mjini Songea.
|
Mmoja wa
askari barabarani akiwa na cheti alichotunukiwa katika Tamasha la Majimaji
Selebuka 2015 linaloendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya
Majimaji, Songea.
|
Wananchi mbalimbali wakipata ufafanuzi kutoka kwa
wajasiriamali katika maonyesho ya bidhaa zao kwenye Tamasha la Majimaji
Selebuka 2015 linaloendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya
Majimaji, Songea.
|
Washindi wa mbio za wanawake wakiwa katika picha
ya pamoja na waandaaji wa tamasha la majimaji selebuka.
|
Mkurugenzi mwenza wa Asasi ya Songea-Mississipi,
Prof. Julian Murchison akipewa maelekezo na wajasiriamali katika maonyesho ya
bidhaa zao kwenye tamasha la majimaji selebuka 2015.
|
Mshindi katika mdahalo wa Tamasha la Majimaji Selebuka Jonathan Patrick (katikati) kutoka shule ya Kigonsera High School, mshindi wa pili ni Mwajuma Hassan kushoto kwake wa Shule ya Sekondari ya Londoni na Godliving Bayona wa Kigonsera aliyeshika nafasi ya tatu. |
0 COMMENTS:
Post a Comment