October 24, 2015


Kiungo wa Mwadui FC, Athumani Iddi ‘Chuji’, yeye amejipambanua wazi kwamba atapiga kura yake kwa Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).


Chuji aliyewahi kung’ara akiwa Yanga na Taifa Stars, ametupia picha mtandaoni akiwa amepiga mavazi full ya CCM.

Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unafanyika kesho.

CCM ambayo inatumia rangi njano na kijani inapambana na Ukawa inayoundwa na vyama vinne.

Baadhi ya wanamichezo wamekuwa waoga kujipambanua wanaunga mkono chama kipi tofauti na Chuji ambaye ameamua kuweka mambo hadharani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic