October 15, 2015


Na Saleh Ally
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametangaza kutengeneza supu mpya kwa ajili ya Yanga huku mwenyekiti wake, Yusuf Manji akiwa studio.


Manji alikuwa mgeni katika studi za EFM Radio katika kipindi cha E Sports pale aliposema, “Yanga wameshituka ile supu tuliyowaandalia, sasa tunawaandalia mpya.

“Tunachotaka sasa ni kuhakikisha tutakayowapa hawaitemi tena,” alisema.

Wakati Hans Poppe akisema hayo, Manji alikuwa studio kama mgeni mwalikwa, baadaye mtanagazaji Maulid Kitenge akamuuliza: “Umemmsikia Hans Poppe na supu anayowaandalia?”

Manji naye akajibu: “Namsikia sana.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic