Kocha
wa zamani wa Yanga, Kostadin Papic ametimuliwa katika klabu yake aliyokuwa
akiifundisha Afrika Kusini.
Polokwane
City imemtupia virago Papic baada ya kuanza msimu huu kwa kusuasua.
Kocha
huyo kutoka Serbia, amewahi kuinoa Yanga ambayo ilimtoa mara moja, baadaye
akarejea kabla ya kumtupia virago tena.
0 COMMENTS:
Post a Comment