October 27, 2015


Mshambuliaji wa Simba, Pape N’daw sasa si maarufu kwa upachikaji wa mabao au mashuti makali.


Badala yake ni ile ishu ya kubambwa na hirizi.

Lakini leo, mshambuliaji huyo kutoka Senegal na mchezaji mrefu kuliko wote Ligi Kuu Bara ameendelea kujifua na wenzake kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya Coastal Union.

Simba inaivaa Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kesho.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic