October 25, 2015

Derby ya Manchester nayo inaanza kupaa juu zaidi kuonyesha kuwa ni kati ya michezo ghali duniani.

Mechi kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City inaonekana ni ghali kwa kuwa jula ya vikosi kwa maana ya grama ni pauni milioni 545.

Fedha hizo zinafanya mchezo huo wa watani na wapinzani wakubwa kuwa ghali zaidi ukiachana na ule wa El Clasico ambao huwakutanisha Real Madrid na Barcelona nchini Hispania.

Manchester United watakuwa nyumbani Old Trafford dhidi ya City ambao ni wageni lakini wanatokea mji huohuo.

Jumla ya thamani ya kikosi cha Man United ni pauni milioni 264 na Man City ni pauni milioni 281.
Fedha hizo zinafanya mchezo huo wa watani na wapinzani wakubwa kuwa ghali zaidi ukiachana na ule wa El Clasico ambao huwakutanisha Real Madrid na Barcelona nchini Hispania.

Manchester United watakuwa nyumbani Old Trafford dhidi ya City ambao ni wageni lakini wanatokea mji huohuo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic