October 28, 2015


Mambo bado magumu kwa Kocha Jose Mourinho wa Chelsea baada ya kikosi chake kufungwa kwa mikwaju ya penaksti 5-4 katika mechi ya Capital One Cup.

Stoke City ndiyo wababe wa Chelsea safari hii baada ya kuanza kuwafunga lakini wakasawazisha na kufanya dakika 90 na baadaye 120 zimalizike kwa sare ya 1-1.

Mikwaju ya penalti, ikawarudisha katika maisha ya kipigo baada ya Eden Hazard kukosa penalti ya mwisho.


 Stoke (4-2-3-1): Butland 7, Bardsley 5.5, Shawcross 6.5, Wollscheid 6, Muniesa 7 (Wilson 49 6), Whelan 6, Adam 6.5, Diouf 5.5, Afellay 5 (Shaqiri 76), Arnautovic 5, Walters 8 (Odemwingie 90)
Subs not used: Ireland, Sidwell, Given, Crouch
Booked: Bardsley, Wilson
Sent off: Bardsley 
Goals: Walters 52
Manager: Mark Hughes 7 
Chelsea (4-2-3-1): Begovic 6.5, Zouma 6, Cahill 6, Terry 5.5, Baba 6 (Kenedy 67 6), Ramires 6.5 (Traore 80), Mikel 6, Willian 7, Oscar 6.5, Hazard 7.5, Costa 5.5 (Remy 33 6.5)
Subs not used: Djilobodji, Azpilicueta, Amelia, Loftus-Cheek
Booked: Baba
Goals: Remy 90 
Manager: Jose Mourinho 7 
Referee: Kevin Friend 7
Att: 24,886 
Star Man: Walters 
*Player ratings by Chris Wheeler at the Britannia Stadium 















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic