October 6, 2015


Kocha David Moyes amesema hataki kuchukua kazi ya kukinoa kikosi cha Sunderland.


Kocha huyo wa Real Sociedad amesema hataweza kuichukua Sunderland maarufu kama Balack Cat.

Uongozi wa Sunderland umeonekana kutaka kubadili kocha baada ya Dick Advocaat aliyeiacha timu mkiani.

Kocha Sam Allardyce maarufu kama Big Sam, naye amesema kwamba hana mpango wa kuifundisha Sunderland.
Hali kadhalika, kocha mwigine Sean Dyche, aliyeonekana kuwaniwa na uongozi wa klabu hiyo, naye amekataa.


Hali hiyo imeonyesha kuwashangaza wengi kutokana na hali ilivyo kwani makocha watatu wameikataa kazi ya kuwanoa paka hao weusi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic