Mwadui FC imefanikiwa
kujiongezea pointi tatu katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Majimaji kwa bao
1-0 ikiwa nyumbani kwao Songea.
Kutokana na ushindi,
Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema wachezaji wake
walifuata maelekezo na kusababisha kupatikana kwa matokeo hayo.
“Haikuwa kazi lahisi,
lakini walijitahidi kufuata maelekezo na tumeweza kushinda.
“Ni jambo la kuvutia na
lenye faida kwetu, uwanja pia ulikuwa mbaya sana lakini tunashukuru tumeshinda,”
alisema Julio.
0 COMMENTS:
Post a Comment