Beki wa kushoto
wa Neckarsulmer ya Ujerumani, Emily Mgeta atakaa nje kwa wiki mbili.
Neckarsulmer inashiriki
Ligi Daraja la Tano nchini Ujerumani na Mgeta aliyewahi kukipiga Simba
ameishapata namba katika kikosi cha kwanza.
“Kweli bro, nimeumia
enka nilikuwa mazoezi, nilikanyaga vibaya nikaumiza mguu,” alisema.
“Nilifanyiwa x ray,
baada ya hapo nikaambiwa nipumzike kwa wiki mbili,” alisema Mgeta mzaliwa wa
Mwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment