Kikosi cha Toto African kitakachoivaa Yanga
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ses Salaam, leo hiki hapa.
Ndani ya kikosi hicho cha Kocha
Mjerumani, Martin Grelics, kuna wachezaji takribani sita waliochezea Simba B na
wengine Simba kikosi cha wakubwa.
Wachezaji hao ni Hassan Khatibu, Carlos
Protas, Japhet Makaray, Abdallah Seseme, Edward Cristopher na Miraji Madenge ‘Sheva
Go’.
1.Mussa Kilungi-30
2.Hassan Khatibu-15
3.Robert Magadula-2
4.Hamis Katanga-24
5.Carlos Protas-5
6.Salmin Iddi-14
7.Japhet Makaray
8.Abdallah Seseme
9.Evarist Bernad
10.Edward Cristopher
11.Miraji Madenge-20
SUB
Gk. Said Omar-18
2. Hamad Wazir-16
3. Japhar Mohammed-23
4. Wazir Shentemba-11
5. William Kimanzi-9
6. Erick Mlilo-26
7. Miraji Makka - 13
COACH.
Martin Grelics
0 COMMENTS:
Post a Comment