Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm
ameamua kukata mzizi wa fitna, sasa amempanga beki Vicent Bossou.
Bossou raia wa Mali, amekaa benchi
dakika 540 akiwa benchi.
Je, Bossou ataweza kuonyesha uwezo na
kuthibitisha kweli saini yake ni ya muhimu.
1. Ali Mustafa
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vicente Bossou
6. Thabani Kamusoko
7. Malimi Busungu
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Geofrey Mwashuiya
0 COMMENTS:
Post a Comment