October 8, 2015


Msanii nyota nchini wa miondoko ya Hip hop, Juma Nature alishindwa kuficha hisia zake baada ya kumrukia na kumkumbatia Mgombea wa Urais wa CCM, Dk John Pombe Magufuli.


Nature alimrukia Magufuli wkaati wa mkutano wa kampeni za CCM  mjini Moshi, jana.

Alifanya hivyo wakati akiwa anatumbuiza kwenye mkutano huo uliojaa watu wengi.


Nature ni kati ya wasanii wanaokubalika sana nchini. Kabla ya hapo alikuwa upande wa Ukawa kabla ya kurejea CCM kupitia kampeni inayojulikana kama Nimestuka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic