October 1, 2015


Beki Juma Nyosso wa Mbeya City, amesema hakumbuki kama kweli alimfanyia vile nahodha wa Azam FC, John Bocco.


Nyosso amefungiwa miaka miwili kucheza soka pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumshika makalio kwa makusudi na kumdhalilisha Bocco.

Lakini Nyosso amesema hakumbuki kufanya hivyo na angependa Chama cha Wanasoka Tanzania (Sputanza) kuingilia na kumsaidia.

“Sikumbuki kufanya hivyo, huenda watu wananihukumu kwa yale niliyofanya nyumba,” alisema.


Nyosso alikamatwa akifanya hivyo na picha ya vyombo vya habari na picha ilionyesha kila kitu wazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic