October 17, 2015


Watu wanazeeka na mambo yao, Paul Scholes akiwa na umri wa miaka 40, amefanya yale aliyokuwa akifanya wakati kinda.
Scholes amepiga shuti kali umbali wa mita 35 huko Hong Kong na kufunga bao safi kabisaa.


Ilikuwa ni mechi ya hisani kati ya wachezaji wa zamani wa Ligi Kuu England dhidi ya kombaini ya wenyeji.
Scholes akiunga kikosi hicho na wachezaji wengine baadhi kama Emmanuel Petit, Claude Makelele, Robert Pires, Darren Anderton na Robbie Fowler.


Wakati akiichezea Man United, Scholes alikuwa maarufu kwa pasi ndefu zenye uhakika, pia mashuti makali.

DAILY MAIL

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic