October 31, 2015


Hatimaye Kocha Hans van der Pluijm amempa nafasi kipa Deo Munish maarufu kama Dida kuanza katika kikosi cha kwanza kitakachocheza leo katika mechi dhidi ya Kagare Sugar kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.


Pamoja na Dida, kiungo wa pembeni Deus Kaseke naye amepewa nafasi ya kuanza katika mechi hiyo huku Haruna Niyonzima akirejea katikati siku ambayo Yanga inamkosa kiungo wake Thabani Kamusoko.

Pluijm amempumzisha beki wake na nahodha, Nadir Haroub na nafasi yake amechukua Vicent Bossou raia wa Togo ambaye alicheza mechi moja dhidi ya Toto Africa.

LISTI KAMILI HII HAPA...

1. Deo Munish-30
2. Juma Abdul-12
3. Mwinyi Haji-20
4. Kelvin Yondani -5
5. Vicent Bossou-9
6. Mbuyu Twitte-6
7. Malimi Busungu-16
8. Haruna Niyonzima -8
9. Tambwe Amissi-17
10. Donald Ngoma
11.Deus Kaseke-4
SUB
GK. Alli Mustapha-1
2. Pato Ngonyani-15
3. Nadir Haroub-23
4. Simon Msuva-27
5. Matheo Anthony-10
6. Saidi Juma-22
7. Geofrey Mwashiuya-19

KOCHA:

Hans Van Der Pluijm
MSAIDIZI:
Juma Mwambusi
KOCHA WA MAKIPA:
Juma Pondamali

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic