October 25, 2015


Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amewaomba Watanzania kupiga kura kwa amani katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo.


Pluijm raia wa Uholanzi amesema Watanzania wanapaswa kuipa amani kipaumbele.

“Kila mtu ajue kuna maisha baada ya uchaguzi ambao unapita siku moja tu. Amani kwanza inaletwa na mtu moja, wawili na baadaye kundi la watu.

“Kama mtu hajarithika na kitu, lazima ajue kuna njia sahihi za kudai haki yake na si ugomvi.


“Nianze kuwatakia kila la kheri Wanayanga wote pamoja na Watanzania wote katika uchaguzi wa leo,” alisema Pluijm.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic