October 15, 2015



Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima hatacheza mechi ya Jumamosi dhidi ya Azam FC kwa kuwa amekuwa katika harakati za ufungaji ndoa.


Niyonzima ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda 'Amavubi' amefunga ndoa ya serikali mjini Kigali, Rwanda leo. Amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye pia ni mzazi mwenzake ambaye sasa wana watoto watatu.

Katika hali ya kawaida, Niyonzima kwa kuwa hajafanya mazoezi na wenzake kwa kipindi sasa, hivyo hatakuwa na nafasi ya kucheza.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic