Washiriki wa mbio ndefu za Km 42 katika Tamasha la
Majimaji Selebuka 2015, wakichanja mbuga. Tamasha hilo linaendelea katika Uwanja wa
Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, Songea,leo.
Hii imekuwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa tamasha hilo ambalo linatarajia kuendelea kila mwaka.
0 COMMENTS:
Post a Comment