October 27, 2015


Timu ya taifa ya soka ya wanawake 'Twiga Stars', inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya wanawake ya Malawi Novemba 7, 2015 jijini Dar es salaam.

Mchezo huo wa kirafiki ni sehmu ya kujipima na kujiweka sawa kwa Twiga Stars inayonolewa na kocha Rogasian Kaijage.

Awali, Twiga Stars ilikua icheze mchezo huo nchini Malawi Oktoba 24, kabla ya chama cha soka nchini humo (FAM) kuahirisha mchezo huo, na sasa mchezo huo utacheza nchini Tanzania Novemba 07, 2015.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic