November 11, 2015


Mtoto wa kiungo nyota wa Brazil, Kaka ameonyesha kwamba ana kipaji cha soka na kikiendelezwa atakuwa tishio kama baba yake.



Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, hilo amelionyesha Luca mwenye umri wa miaka sita baada ya kucheza soka utafikiri mtu mzima anayeipigania timu yake.

Mara kadhaa alionyesha kufanya juhudi za kumpita beki Luiz wakati alipotembelea kambi ya timu ya taifa ya Brazil jijini Sao Paulo ambayo inajiandaa kuwavaa wapinzani wao wakubwa, Argentina.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic